Current Post Annual Performance Report for Non-Financial Cooperative Societies, 2025 Launched
Latest Posts
Latest news & updates from SCCULT
Annual Performance Report for Non-Financial Cooperative Societies, 2025 Launched
SACCA Congress 2026 Recap: Strengthening Africa’s Cooperative Finance Movement
SACCA Congress 2026 Dinner Gala: Celebrating Collaboration and the Cooperative Movement
SACCA Congress 2026: Training Sessions Empower Cooperative Finance Professionals
SCCULT Strengthens Digital Transformation to Enhance SACCOS Operations and Service Delivery

The Savings and Credit Cooperative Union League of Tanzania (SCCULT) 1992 LTD

Umbrella for SACCOS in Tanzania
SCCULT (1992) LIMITED

Membership
Application.

Jiunge na Chama Kikuu cha Ushirika wa Akiba na Mikopo Tanzania (SCCULT 1992) LTD. Jenga ushirikiano imara, pata uwakilishi, ushauri na huduma mbalimbali zinazolenga kuimarisha maendeleo ya SACCOS nchini Tanzania.

Uanachama wa SACCOS Jiunge na mwavuli wa kitaifa wa SACCOS.
Kiingilio TZS 100,000 Kiingilio cha mara moja wakati wa kujiunga.
Ushirikiano na Uwakilishi Huduma, elimu, utetezi na ushauri kwa SACCOS.
Official Membership Form

Kupata Fomu ya Uanachama, Omba Hapa

Jaza taarifa sahihi za SACCOS yako ili kuendelea kupata fomu rasmi ya maombi ya uanachama wa SCCULT (1992) LTD.

Fomu Rasmi ya Maombi

Chama Kikuu cha Ushirika wa Akiba na Mikopo Tanzania

SCCULT / MEMBERSHIP

Taarifa za SACCOS

Jaza taarifa zote zinazohitajika hapa chini.

Ingiza jina rasmi la SACCOS yako. Jina lazima liishie na SACCOS LTD. Mfano: URA SACCOS LTD.
Ingiza barua pepe halali isiyozidi herufi 30.
Namba iwe na tarakimu 12 na ianze na 2556 au 2557. Mfano: 255786377742.
Membership Financial Obligations

Maelezo ya Ada, Kiingilio na Hisa

Masharti ya msingi ya kifedha yanayotakiwa kuzingatiwa na SACCOS inayoomba uanachama wa SCCULT (1992) LTD.

Kiingilio cha Uanachama TZS 100,000

Hulipwa wakati wa kujiunga na hakitarejeshwa kwa mwanachama anayejitoa.

Thamani ya Hisa Moja TZS 20,000

SACCOS inatakiwa kununua hisa ishirini na tano (25).

Jumla ya Hisa 25 TZS 500,000

Hisa zinatakiwa kununuliwa ndani ya miezi ishirini na nne (24) baada ya kujiunga.

SACCOS mwanachama inawajibika kulipa ada ya mwaka kuanzia mwaka wa kujiunga na kuendelea. Kiwango cha ada ya mwaka kinategemea thamani ya mali zinazomilikiwa na SACCOS.

Annual Membership Subscription

Jedwali la Viwango vya Ada za Mwaka

Kiwango cha ada ya mwaka kinatokana na thamani ya mali zinazomilikiwa na SACCOS.

Na. Thamani ya Mali – Kutoka (TZS) Thamani ya Mali – Hadi (TZS) Ada ya Mwaka (TZS)
0110,000,00050,000,000100,000
0250,000,001100,000,000150,000
03100,000,001250,000,000200,000
04250,000,001500,000,000250,000
05500,000,0011,000,000,000300,000
061,000,000,0012,000,000,000500,000
072,000,000,0015,000,000,000800,000
085,000,000,00110,000,000,0001,000,000
0910,000,000,00115,000,000,0001,500,000
1015,000,000,00120,000,000,0002,000,000
1120,000,000,00130,000,000,0002,500,000
1230,000,000,00150,000,000,0003,000,000
1350,000,000,00170,000,000,0003,500,000
14Zaidi ya 70,000,000,001—4,000,000

Kumbuka: Viwango hivi vimewasilishwa kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa kwenye fomu ya uanachama. Tafadhali thibitisha viwango husika na SCCULT kabla ya kufanya malipo.

Membership Rights & Opportunities

Maelezo ya Nyongeza

SACCOS mwanachama inaweza kunufaika na fursa na huduma mbalimbali zinazotolewa na SCCULT (1992) LTD.

SACCOS ina haki ya kupata mrejesho/majibu juu ya maombi yake ya uanachama.

SACCOS inaweza kuweka akiba kwenye Mfuko wa Pamoja wa SCCULT (1992) LTD kwa kiasi watakachoona kinafaa kwa mwezi.

SACCOS inaweza kuweka kinga ya mali zake dhidi ya majanga kupitia Mpango wa Utawala wa Majanga wa SCCULT (1992) LTD.

SACCOS ina haki ya kupata huduma mbalimbali za utetezi, uzengezi, uwakilishi na ushauri kutoka SCCULT (1992) LTD.

SACCOS ina haki ya kupata riba juu ya akiba zake kutoka SCCULT kwa kiwango kilichopo sokoni wakati huo.

SACCOS ina haki ya kupata elimu na mafunzo ya ushirika na taaluma za nyanja mbalimbali kulingana na mpango wa mafunzo uliopo.

Official Payment Channels

Maelekezo ya Malipo

Malipo yafanyike kwa kuzingatia mgawanyo wa akaunti ulioainishwa hapa chini.

NMB BANK

Akaunti ya Hisa

SCCULT (1992) LTD
Benki: NMB Bank
Tawi: Kariakoo, Dar es Salaam

Akaunti hii itapokea malipo ya hisa pekee. TZS 500,000 kwa hisa 25.

CRDB BANK

Akaunti ya Kiingilio na Ada

SCCULT EDUCATION FUND
Benki: CRDB Bank

Akaunti hii itapokea malipo ya ada pamoja na kiingilio cha uanachama.

MUHIMU: Hakikisha unatumia akaunti sahihi kwa kila aina ya malipo. Hisa zinalipwa kwenye akaunti ya NMB, wakati kiingilio na ada vinalipwa kwenye akaunti ya CRDB. Hifadhi uthibitisho wa malipo kwa ajili ya kumbukumbu na ufuatiliaji.
SCCULT (1992) LIMITED

SCCULT Jumuishi kwa Ustawi wa SACCOS.

Kwa maelezo zaidi kuhusu uanachama, taratibu za maombi, malipo na huduma za SCCULT, wasiliana na Mratibu wa Programu na Masoko wa SCCULT (1992) LTD.

S.L.P 20640, Dar es Salaam, Tanzania.

Our Membership Network

SACCOS Members

Pamoja tunaimarisha ushirika na maendeleo ya SACCOS nchini Tanzania.

URA SACCOS LTD Logo
URA SACCOS LTD
NGOME SACCOS LTD Logo
NGOME SACCOS LTD
TCDC SACCOS Logo
TCDC SACCOS
MUWSA SACCOS Logo
MUWSA SACCOS
ELCT SACCOS Logo
ELCT SACCOS
TRA SACCOS Logo
TRA SACCOS
TANESCO SACCOS Logo
TANESCO SACCOS
NYUMBA SACCOS Logo
NYUMBA SACCOS
2026 SCCULT (1992) LIMITED | All Rights Reserved.
Official Website | Developed & Maintained by SCCULT ICT Department