Call Us
+255 222 185 548/9
Mail Us
info@sccult.tz
Address
20640, Dar es Salaam
Latest SCCULT News
Stay updated with our work
SCCULT (1992) LTD

Latest SCCULT News

All recent updates, impact stories, and announcements from SCCULT and member SACCOS.

SCCULT TENDER

SCCULT TENDER

Date:
PODCAST MAALUM, KUELEKEA SACCA CONGRESS 2026

🎙️ PODCAST MAALUM Je, unafahamu nafasi ya Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) katika kuchochea maendeleo ya kiuchumi, na nini maana ya ujio wa SACCA Congress 2026 Tanzania? Jiunge nasi katika mazungumzo maalum na: 👤 Hassan Mnyone Afisa Mtendaji Mkuu, SCCULT (1992) Ltd 🗣️ Mada Kuu: "Maendeleo ya Ushirika wa Akiba na Mikopo na Ujio wa SACCA Congress 2026 Tanzania." Katika podcast hii utajifunza kuhusu: ✅ Hatua zinazopigwa na sekta ya SACCOS nchini Tanzania. ✅ Fursa zinazokuja kupitia SACCA Congress 2026 Tanzania. ✅ Umuhimu wa ushirikiano wa kimataifa katika maendeleo ya sekta ya fedha jumuishi. ✅ Dira ya baadaye ya Ushirika wa Akiba na Mikopo nchini na barani Afrika. 📅 SACCA Congress 2026 Tanzania 🗓️ 11 – 16 Oktoba 2026 🎧 Usikose mazungumzo haya yenye maarifa, fursa na mwelekeo mpya wa maendeleo ya sekta ya ushirika

Date:
SACCA CONGRESS - TANZANIA Huu ni mkutano wa 26 wa Africa wa Shirikisho la Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo Barani Africa. (ACCOSCA) TAREHE: 11th October - 16th October 2026

SACCA Congress 2026 ni mkutano wa 26 wa Afrika unaoandaliwa na ACCOSCA, ukiwakutanisha viongozi, wataalamu, wadau wa ushirika, na taasisi za fedha kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Mkutano huu utatoa jukwaa la kujadili maendeleo ya sekta ya ushirika wa akiba na mikopo, ubunifu wa kidijitali, usimamizi wa taasisi za kifedha, pamoja na fursa za ushirikiano na ukuaji wa biashara. Tarehe: 11 Oktoba – 16 Oktoba 2026.

Date: