SACCOS huwaleta watu makini pamoja

Tarehe 20.12.2022 Chama cha Ushirika wa akiba na mikopo Samekaya kutoka Same Kilimanjaro wametembelea Chama cha Ushirika wa akiba na mikopo cha ELCT ND kutoka Moshi Kilimanjaro kwa lengo la kubadilishana uzoefu kwenye maeneo mbalimbali katika kutoa huduma kwa Wanachama.

administrator