
Mjumbe wa Bodi wa chama cha URA SACCOS SACP.David Misime akipokea Cheti maalum kilichoandaliwa na Shirika la ukaguzi COASCO kutambua chama hiki kupata hati safi yenye ubora kwa mwaka 2022 Kwenye kilele cha siku ya SACCOS duniani iliyoadhimishwa jijini Mwanza