
Mrajis wa Vyama vya ushirika nchini Tanzania Dr.Benson Ndiege Pamoja na mwakilishi wa Mrajis wa Vyama vya ushirika Zanzibar walipotembelea banda la Chama cha ushirika wa akiba na mikopo cha BANDARI SACCOS Ltd. Kwenye maadhimisho ya siku ya SACCOS duniani iliyoadhimishwa jijini Mwanza.